MCHANGO WA VITI NA MEZA ZA KUSOMEA

 ( Chochote katika wema unachokifanya kwa ajili ya nafsi yako, basi ujira (thawabu) wake mkubwa na zaidi utaukuta mbele ya Mwenyezi Mungu ).

TAZAMA TOFAUTI YA PICHA MBILI HIZI

HAWA MASIKINI ZA MUNGU WANAHITAJIA MISAADA YENU, WANASOMA CHINI YA KIVULI CHA MTI. UNADHANI KIASI GANI KATIKA MSHAHARA WAKO WA KILA MWEZI UNAWEZA KUWASAIDIA WATOTO HAWA??

HAWA ALHAMDULILAH WATOTO WETU MWENYEZI MUNGU KAWANEEMESHA NEEMA YA DARASA NA MEZA NA VITI NA KILA STAREHE YA KUTAFUTA ELIMU.

 

 

JUMUIYA YA ISTIQAMA AL-KHAYRIA AKIUNGANA NA UKUMBI WA UISLAMU.NET

INAWAOMBA MCHANGO WENU KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI.

ZINATAKIWA MEZA NA VITI MIA TATU (300) KWA AJILI YA KUWAPELEKEA WATOTO WA KIISLAMU KATIKA MADRASA ZA ISTIQAMA HUKO TANZANIA.

Bei ya Meza moja na kiti chake ni Riali 10 za Omani.

Vinapatika Fahmy Faniture.

Kwa kutaka habari zaidi tafadhali wasiliana na:

 Zahir bin Khalifa Al-Alawi:               99358495

 Mohammed bin Salim Al-Busaidi:     99353988

         uislamu.net:                           99364295

email: uislamu@uislamu.net

 

Copyright ©2004  Uislam.net