May 292011
 

Utangulizi:

Kila Desemba Mosi ya kila mwaka Tanzania hujiunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani. Lengo kuu la siku hii ni kuwakumbuka waliokufa kutokana na UKIMWI na pia kuwaunga mkono walioathirika na ugonjwa huu ili waendelee kuishi kwa matumaini. Continue reading »

© 2011 Uislam Suffusion theme by Sayontan Sinha