|
|
uislamu.net
inachukuwa juhudi kubwa katika kueneza mambo ya kheri miongoni mwa jamii
ya Waislamu Khalisi. Daima tumo na mawasiliano baina yetu na hawa wenye
kuwatazama mayatima wa mji wa Shinyanga Tanzania. Na yoyote yule mwenye
kutaka kuhakikisha basi hata kanda za vedio tunazo za mayatima hawa.
Hawali kitoweo, bali chakula chao ni wali na maharage kama yatapatikana.
Tafadhali
wasiliana na uislam.net ili upate maelezo zaidi
admin@uislam.net |
|
Hizi hapa
ni baadhi ya picha zinazo onesha unyonge ya mayatima hawa.
ENTER |
|
 |
|
فأما
اليتيم فلا تقهر * وأما السائل فلا تنهر * وأما بنعمة ربك فحدث*
|
|
 |