Sep 112011
 

uislamu.net inawaletea kaseti ya video inayofundisha mambo yote yanayohusu mauti na kumtayarishi maiti, ikianzia adabu za kutembeleo wagonjwa hadi anapofariki akakoshwa na kuvikwa kafini (sanda) na kuzikwa, kaseti hii ni juhudi ya vijana wa hapa Oman, kaseti hii imepitiwa na Masheikhe wa ofisi kuu ya Mufti wa Oman.

Video zinapatika katika youtube katika link zifuatazo.

Sakaratul maut (Mtu anapotaka kufa)

Kuosha Maiti (namna ya kuosha maiti)

Kuvisha Sanda Maiti (Kumvisha sanda maiti)

Salaa ya Maiti (Kumsalia Maiti) Kubeba Jeneza

Kuzika Maiti (vipi namna ya kuzika)

 

www.islamu.net

 

 

.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  One Response to “SAFARI ya MWISHO”

  1. [...] Ajali ya meli Zanzibar: Mamia wafariki  » http:// http://www.uislam.net [...]

© 2011 Uislam Suffusion theme by Sayontan Sinha