NDOA YA WALIOZINI

 

Shukrani Zote Ni Za Mwenyezi Mungu Na Rehema Na Amani Ziwe Juu Ya Bwana Wetu Mtume Wa Mwenyezi Mungu Na Watu Wake Na Masahaba Wake Na Waliomtii.

Ama Baada: Kwa Yakini Nimeangalia Juu Ya Huku Kupekua Na Kutafuta Kuhusu Ndoa Ya Mwanamme Aliyezini Na Mwanamke Na Ambayo Nasema Kwamba Yaliyokubalika Kwenye Dhehebu La Wanavyuoni Wetu Waliyorehemewa Na Mwenyezi Mungu, Nayo Ni Kauli Ya Jambo La Ukweli Kabisa Linalo Sababisha Mizizi Ya Uharibifu, Na Dalili Kwamba Imepokewa Na Jumla Ya Masahaba Radhi Za Allah Ziwe Juu Yao, Miongoni Mwao Ni Mama Wa Waislamu (Mke Wa Mtume S.A.W. Bibi Aisha Na Ibn Masoud Na Al-Barraa Bin Azib, Imepokewa Miongoni Mwa Wote Hao, Kwamba (Mwanamme Yeyote Yule) Atakayezini Na Mwanamke Kisha Akamwoa Basi Wote Wawili Ni Wazinifu (Ni Wenye Kuzini) Daima (Katika Maisha Yao).  Na Hii Inakubalika Kwa Kawaida Ya Yeyote Yule Anayefanya Haraka Juu Ya Jambo Kabla Ya Wakati Wake Inakuwa Hii Ni Adhabu Kwake Ya Kuharamishwa Juu Yake (Mwanamke Aliyezini Naye Iwe Haramu Kwake).  Na Hii Inaafikiana Kwa Yale Yaliyotajwa Katika Kitabu Kitakatifu Kuhusu Uhusiano Wa Maisha Ya Kuoana, Kasema Allah Mtukufu (Katika Surat-Arruum Aya Na. 21): “Na Katika Alama Zake Ni Kuwa Amekuumbieni Wake Zenu Kutokana Na Nafsi Zenu Ili Mpate Matulivu Kwao..” Na Uhusiano Wa Ndoa Kuoana Ni Makao Na Kupata Matulivu Ya Nyoyo, Na Wapi Moyo Utatua Na Kupata Matulivu Kwa Mwanamme Au Mwanamke Kwa Chanzo Cha Kuipeleka Nafsi Yake Kutenda Machafu (Zinaa)? Ataelekea Mmoja Kati Yao Wakati Huo Ambao Anajitumbukiza Na Kuzama Katika Chombo Kichafu Cha Tabia Mbaya Kabisa Na Kupeana Ndani Yake Vikombe Vya Upuuzi Mbaya Ili Kumwitika Mwito Wa Shetani? Jee! Haiwezekani Kuwa Baina Ya Mmoja Kati Yao Na Baina Ya Mwengine Walikuwa Na Tabia Hiyo Ya Matamanio Mabaya Tangu Zamani? Jee1 Hautawaingia Ndani Ya Killa Mmoja Baina Yo Wasi Wasi (Wa Shetani) Ukwatawala Na Kuwafanya Wakeshe Mchana ?  Naam! Na Mara Elfu Naam! Bila Shaka Huyo Anajiangamiza, Na Hayawi Haya Ila Kwa Aliyepotoka.

Hapana Shaka Kwamba Ruhusa (Inayotolewa) Kuozesha Ndoa Ya Wawili Waliyozini Inafungua Mlango Wa Kuzidisha Machafu (Huu Wa Zinaa) Madamu Jambo Hili Limekuwa Jepesi Mpaka Kufika Hali Hii, Na Kwamba Kijana Mwanamme Na Msichana Wa Kike Wanaweza Kukutana Kwa Urahisi Katika Kivuli Cha Kutenda Machafu Kisha Wakakamilisha Kurasa Ya Machafu Yao Kwa Kuoana.  Na Mbwa Mwitu Wa Kibinadamu Wangapi Waliowavamia Kuwaharibu Wasichana (Watoto Wanawari Wa Kike) Kwa Njia Ya Kuwadanganya Kwamba Watawadwa (Na Baada Ya Kuwaharibu) Wanawapiga Teke Kuwaachilia Mbali Na Kutafuta Wasichana Wengine.  Ambapo Hapo Mwanzo Walikuwa Na Tamaa Ya Kuolewa Na Kupata Mshirika Mwenzake Wa Kuishi Naye, Na Mara Tu Ndoto Yake Inakuwa Kinyume Na Aliyoyatamani, Inabadilika Hali Yake Msichana Kuwa Chungu Inayomuumiza Na Kumjaa Huzuni Kifuani Iliyokubwa Isiyokuwa Na Mfano Baada Ya Kuvunjiwa Hishima Yake Msichana Na Kumbebesha Mimba Tumboni Mwake, Wakati Huo Tena (Anakuwa Na Aikabili Katika Hali Mbili): Ima Abakie (Na Mimba Yake) Aikabili  Fedheha Na Kuwa Ametupwa Kwa Kudharauliwa Duniani Na Kupuuzwa, Au Mwisho Wake Ni Ahangaike Kutafuta Madawa Ya Kutoa Mimba.  Jee!  Hii Si Mfano Wa Maneno Makali, Nayo Ni Sawa Na Dawa Inayozuia Sumi Ya Kupata Manufaa Ya Mfano Huu Wa Kuchezea Na Kuwaharibu Wasichana Wa Watu Wenye Mfano Wa Hawa Wasichana Wanaongamia Kwa Mambo Haya.  Khasa Wakati Huu Ulionunua Dawa Ya Kuzidi Uharibifu Kuiharibu Hishima Na Kuua (Kuondoa) Tabia (Njema).

Na Haya Inapasa Yasiwe Mbali Na Kufikiria Na Kujua Ya Kwamba Mafungamano Ya Ndoa Ni Mafungamano Matakatifu, Yamewajibika Yasiingie Ndani Yake Uchafu Wowote Na Yasigandane Na Shaka Yoyote.  Na Katika Msimamo Wa Waja Wema Waliopia (Wa Zamani) Katika Mambo Mengi Wanahakikisha Hayo (Machafu Ya Kuzini Kisha Kuoana).  Na Tika Fiqhi Ya Imamu Maalik Kwamba Umar Bin Khattaab ® Aliwatenganisha Mwanamme Na Mwanamke Walioana Kabla Ya Kukamilika Eda Ya Mwanamke, Akasema (Umar): “Wasikutane Tena (Maisha)”… Na Amechukulia Imamu Malik Katika Madhehebu Yake Na (Pia) Alleyth Na Al-Awzai Na Wakataja Katika Fiqhi Hiyo Hukumu Ya Umar Bin Khattaab ® Kuhusu Jambo Hili Kutokana Na Ibn Shihaab Naye Kutokana Na Said Bin Musayyib Naye Kwa Suleiman Bin Yassaar Kwamba Bibi Taliihah Al-Asadiyyah Alikuwa Mke Wa Rashid Al-Thaqafy Akamwamcha (Akampa Talaka) Akaolewa Katika Wakati Wa Eda Yake (Hajakwisha Muda Wake) Basi Umar Bin Khattaab Akampiga (Yule Mwanamke) Na Pia Akampiga Mumewe Kwa Mpini Na Akawatenganisha Baina Yao, Kisha Akasema Umar Bin Khattaab ®: “Mwanamke Yoyote Yule Akiolewa Katika Eda Yake (Kabla Ya Kukamilika) Kama Mumewe Hajawahi Kumwingilia Watenganishwe Baina Yao Kisha Akae Kumaliza Eda Yake Kwa Mume Wa Mwanzo, Kisha Huyo Mume Wa Pili Ende Kuposa Upya Kwa Wanaohusika (Kama Hajamwingilia) Na Kama Kawahi Kumwingilia Basi

Watendanishwe Kisha Amalize Eda Ya Mume Wa Mwanzo Kisha Akae Eda Ya Mume Wa Pili (Aliyetenganishwa Naye) Kisha Wasikutane (Kuoana) Maisha Yao).

Na Akasema Mwanachuoni Abul-Waliid Al-Baaji Katika Kitabu Chake “Al-Muntaqaa” Kwa Fiqhi Ya Imamu Maalik Kwa Kuharamishwa Kabisa Maisha Kwa Kumwingilia Manamke Naye Yumo Katika Eda. (Pia) Haya Kayasema Ahmed Bin Hambal Vile Vile, Akatoa Dalili Hii Al-Baaji Kwa Hukumu Ya Umar®. Na Hukumu Ya Mambo Haya Yaliendelea Na Kutawanyika Na Kupeana Katika Miji Mingi, Na Wala Hakuna Aliyepinga Na Kwamba Wamekubaliana Wote.

Na Mfano Wa Haya Kasema Kadhi Abu Muhammed (Kwamba): Imepokewa Pia Kutokana Na Ally Bin Abi Taalib ® Na Wala Hakuna Aliyepinga Umashuhuri Wa Hukumu Hii Na Wote Wamekubalian.

Na Sio Hivi Tu, Bali Kwa Kauli Ya Imamu Maalik Kwa Kumharamisha Mwanamke Juu Ya Mwanamme Walaukuwa Kamwingilia (Hata Kama) Baada Ya Kwisha Eda Yake (Ikiwa Kafunga Akdi Wakati Wa Eda) Nayo Yametajwa Katika Kitabu (Cha Fiqhi Yake) Bali (Pia) Amesema Ibn Jallaab Kutokana Naye (Imamu Malik) Kwamba Mwanamke Anaharamika Juu Yake Kwa Kufunga Aqdi Ya Ndoa (Kabla Ya Kumwingilia), Ameyanakili Hayo Al-Qurtuby Hata Kama Imekuwa Hukumu Hii Katika Muingilia Imejengwa Kwa Aqdi (Ya Ndoa), Na Hata Kama Si Kweli Hasa (Na Mwanamke) Sio Haki Zaidi Kuwa Haramu Kabisa (Ndoa Hiyo) Na Kuwa Lazima Apate Adhabu Ya Sheria Juu Yake?

Na Kwa Yakini Umejua Kuwa Umar ® Hakutoa Adhabu Ya Sheria Kwa Wale Ambao (Waliooana Katika Eda) Aliowatenganisha Kabisa Baina Yao Maisha Kwa Kuoana Kwao Katika Wakati Wa Eda, Bali Alitosheleza Kwa Kuwalaumu Ili Kuepuka Na Shubuha.

Na Kwamba Imethibitika Kwa Mtume (S.A.W) Kwa Wawili Waliolaaniwa, Kasema: “ Hawawi Pamoja Mpaka Siku Ya Kiyama” Na Ikiwa Hukumu Hii Ya Waliolaaniwa (Yaani Mwanamme Akimwingilia Mkewe Nyuma Wote Wawili Wamelaaniwa) Imekuwa, (Vipi Tena) Iwe Mwanamke Hana Kosa (Kwa Kuingiliwa Nyuma) (Ikabidi Lazima Atenganishwe Na Mumewe Iwe Haramu Kabisa Kuwa Pamoja Mpaka Siku Ya Kiyama) Vipi Basi Isiwe Haramu Kwa (Ndoa Ya) Zinaa? Ama Yaliyopokewa Kwamba: “Mwanzo Wake Uzinzi Na Mwisho Wake Ndoa” Yaliyosemwa Na Ibn Abbas ® Sio Kutokana Na Bibi Aisha Ukweli Wake Anaujua Mwenyezi Mungu Kwa Uhakika Wake (Hadithi

Hiyo) Na Ama Ya Mwanzoni Yanachukulia Kwamba Lau Mwanamme Na Mwanamke Wamezini Katika Ujahili (Kabla Ya Uislamu) Basi Zinaa Yake Hawi Mwanamke Haramu Kwake Katika (Baada Ya) Uislamu, Maana Uislamu Unafuta (Makosa) Yaliyokuwa Kabla Yake, Na Kwa Vyo Vyote Vile Kauli Hiyo Imesimamishwa Juu Ya Sahaba (Aliyeitaja) Na Kupingwa Na Masahaba Wengi Wengine, Na Kwa Hiyo Haisimami Kuwa Ni Hoja (Ya Kuoana Waliozini).

Na Hadithi (Iliyosema): “Asiozeshwe Aliyepigwa Bakora (Kwa Kuzini) Ila Kama Yeye “Hii Haimaanishi Kuwa Aoe (Mwanamke) Aliyepigwa Bakora Kwa Sababu Hiyo (Ya Zinaa) Hata Iwe Dalili Ya Kuruhusu Ndoa Ya Aliyezini Naye Mwanamke, Bali  Ina Maana Kwamba Huyo (Haaminiki) Wala Hategemeki Bila Ya Mipaka. (Yaani Aliyezini Akapigwa Bakora Haifai Kumwozesha Mwanamke Mwenye Hishima Aliyejilinda Na Machafu).

Ama Kiasi Kukisia Jambo Zinaa Kwa (Kukisia Iwe Sawa Na) Wizi Katika Shamba, Basi Haharamishwi Mwizi Kununua Shama Alilokwiba Ndani Yake Iwe Sawa Na Kuowa Mwanamme Kwa Mwanamke Aliezini Naye, Hiyo Ni Kiasi Ya (Mfano) Usiofaa Ulioharibika Uharibifu Mkubwa Baina Ya Shina Na Tawi.  Na Mtu Haharamishwi Kununua Shamba Alilokwiba Ndani Yake Baba Au Mtoto Wake Na Anaharamishwa Kuoa Mwanamke Aliyezini Naye Mmoja Wao. Na Inajuzu Kununua Shamba Lililokuwa La Baba Yake Au Mwanawe, Na Wala Haijuzu Kuoa Mke Wa Yeyote Katika Wao.  Na Mwenyezi Mungu Ndiye Ajuaye.

 

Copyright ©2004  Uislam.net