|
1. Kuendelea na ujenzi wa misikiti na
ukarabati wa miskiti mikongwe.
2. Kusambaza misahafu kwa wanafunzi wa
kiislamu na misikitini.
3. Kwa ujumla kuendelea na baadhi ya malengo
yaliyopo na kuangalia njia za kuanzisha miradi mipya ambayo itaingiza mapato
kwa ajili ya miskiti na skuli za Qur-an ili kuendeleza madhumuni yake bila
ya vikwazo au matatizo ya kifedha.
4. Kujenga vyuo vikuu vya kiislam.
5. Kujenga primary na secondari school katika
nchi mbali mbali tunazozishughlikia kwa hivi sasa.
6. Kuanzisha skuli za uhasibu na utawala wa
ofisi.
7. Kuwaelimisha wanawake katika ushoni .
8. Kuendelea kuchimba visima panapohitajika.
Yote hayo yatawezekana kwa kupata msaada na
mchango wako wa dhati.
Jumuiya hii imejitayarisha pamoja na
kujiwekea mipango madhubuti ya kufanikisha malengo yake.
|