زيارة سماحة الشيخ أحمد بن حمد الخليلي
إلى زنجبار (معهد الإستقامة)
Safari ya Samahat Sheikh Ahmed Al-Khalili
(Mufti Mkuu wa Oman) Zanzibar (Chuo cha Kiislamu Istiqama zanzibar)
Samahat Sheikh Al Khalili alitembelea katika
safari yake Chuo cha Kiislamu kinachosimamiwa na Jumuiya ya Istiqama zanzibar (Tunguu).
Na safari hii ilikuwa baada ya kutoka Burundi. Hizi ni baadhi ya picha
zilizochukuliwa na Jumuiya ya Istiqama Al Kharyia.