DUA BAADA YA KUTIA UDHU

1- أَشْهَدُ أَنْ لا إِلَـهَ إِلاّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَريـكَ لَـهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمّـداً عَبْـدُهُ وَرَسـولُـه.   

Ashhadu an la ilaha illal-lahu wahdahu la shareeka lah, wa-ashhadu anna Muhammadan AAabduhu warasooluh.

Nashuhudia ya kuwa hapana Mola wa kuabudiwa kwa haki ila Allah pekee wala hama mshirika. Na nashuhudia ya kuwa Mtume Muhammad S.A.W ni mja wake na Mtume wake.
‘I bear witness that none has the right to be worshipped except Allah, alone without partner, and I bear witness that Muhammad is His slave and Messenger.

2- اللّهُـمَّ اجْعَلنـي مِنَ التَّـوّابينَ وَاجْعَـلْني مِنَ المتَطَهّـرين.   

Allahummaj-AAalnee minat-tawwabeena wajAAalnee minal-mutatahhireen.

Ewe Mola wangu nijaalie katika waja wako wanaotubia na walio wasafi.
‘O Allah, make me of those who return to You often in repentance and make me of those who remain clean and pure.’

3- سُبْحـانَكَ اللّهُـمَّ وَبِحَمدِك أَشْهَـدُ أَنْ لا إِلهَ إِلاّ أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتوبُ إِلَـيْك.   

Subhanakal-lahumma wabihamdika ashhadu an la ilaha illa anta astaghfiruka wa-atoobu ilayk.

Ewe Mola uliyetukuka na Mwenye kuhamidiwa. Nashuhudia kuwa hakuna Mola ila Wewe, nakuomba msamaha na natubia kwako Pekee.
‘How perfect You are O Allah, and I praise You, I bear witness that none has the right to be worshipped except You, I seek Your forgiveness and turn in repentance to You.