DUA YA KUINGIA NA KUTOKA CHOONI

- الهم إني أعوذ بك من الخبث والخبائث

Allahuma inny audhu bika minalkhubth walkhabaaith.

Na ukitoka husema: غفرانك (ghufranak, mara 3)

Mwenyezi Mungu najilinda kwako na majini makhabithi wa kike na wa kiume.