BARUA YA WIKI

(Mkumbuke Allah)

BARUA HII IMESHASOMWA NA WATU:

  Counters

ÈöÓúãö Çááøóåö ٱáÑøóÍúãóÜٰäö ٱáÑøóÍöíãö

1.    Aya tukufu:

﴿æóٱÊúáõ Úóáóíúåöãú äóÈóÃó ٱÈúäóìú ÁÇÏóãó ÈöٱáúÍóÞø ÅöÐú ÞóÑøóÈóÇ ÞõÑúÈóÜٰäÇð ÝóÊõÞõÈøáó ãöä ÃóÍóÏöåöãóÇ æóáóãú íõÊóÞóÈøóáú ãöäó ٱáÂÎóÑö ÞóÇáó áÇóÞúÊõáóäøóßó ÞóÇáó ÅöäøóãóÇ íóÊóÞóÈøóáõ ٱááøóåõ ãöäó ٱáúãõÊøóÞöíäó

Na soma juu yao habari ya watoto wawili wa Adam; wakati walipopeleka sadaka zao; basi ilikubaliwa kwa mmoja wao na haikukubaliwa kwa mwengine. Akasema: Hakika nitakuua". Akasema: Hakika yalivyo ni kua anakubali Allah kwa Wachamungu﴿

[Maidah 27]

2.    Hadithi ya wiki:

æóÑõæöíó Ãóäøó ÓóÇÆöáÇð ÓóÃóáó ÝóÞóÇáó: íóÇ ÑóÓõæúáó Çááåö Ãóíøõ ÇáúãõÄúãöäöíúäó ÃóßúíóÓõ¿ ÝóÞóÇáó Õóáøóì Çááåõ Úóáóíúåö æóÓóáøóãó: ÃóßúËóÑõåõãú áöáúãóæúÊö ÐößúÑÇð¡ æóÃóÍúÓóäõåõãú áóåõ ÇÓúÊöÚúÏóÇÏÇð. ÃõæáóÆößó ÇáÃóßúíóÇÓõ ÐóåóÈõæúÇ ÈöÔóÑóÝö ÇáÏøõäúíóÇ æóßóÑóÇãóÉö ÇúáÂÎöÑóÉö"

"Imepokewa kua mwenye kuuliza aliuliza: Ewe Mjumbe wa Allah hivi ni nani Katika Waumini mwenye busara zaidi? Basi Mtume (s.a.w) alisema: Ni yule aliyekua ni mwingi zaidi wa kukumbuka mauti, na mwenye kujitayarisha vizuri zaidi kwa ajili ya hayo mauti. Hao ndio wenye busara; wameondoka pamoja na Utukufu wa Dunia na Cheo cha Akhera"

3.    Hekima ya wiki:

"Ubora wa Uislamu wa mtu ni kuacha lisilomuhusu"

4.    Dua ya wiki:

Inapokaribia Magharibi sema hivi:

Çááøóåõãøó Èößó ÃóãúÓóíúÊõ¡ æóÈößó ÃóÕúÈóÍúÊõ¡ æóÈößó ÃóÍúíóÇ¡ æóÈößó¡ ÃóãõæúÊõ æóÅöáóíúßó ÇáúãóÕöíúÑõ

"Allahumma bika amsaytu, wabika asbahtu, wabika ahyaa, wabika amuutu, wailayka lmaswiir"

"Ewe Mola wangu; kwa kutaka wewe nimeingia jioni, na kwa kutaka wewe ninaing asubuhi, na kwa kutaka wewe niko hai, na kwa kutaka wewe nitakufa, na kwako wewe ndio Marejeo"

Wassalamu alaykum

Msikiti wa Ibadhi Bujumbura

20/08/1426H

 

Copyright ©2004  uislamu.net