MILANGO YETU

 

  Quraan  Tukufu

  Quraan (Wasomaji)

  Tafsiri (Arabic-English)

  Khutba za Ijumaa

  Jifunze Kiarabu

  Jifunze Kompyuta

  News (Al Jazeera)

  News (Al Arabiya)

  Barua za Wasomaji

  Mlango wa Ramadhan

 

MAYATIMA

 

 

 

 

 

MLANGO WA HAJ

UJUWE UKIMWI


karibuni katika ukumbi wa uislamu.net unaowaletea kila kipya katika njia rahisi. Makala ya ukumbi huu ni miliki na fikra za uislamu.net kwa hiyo unapokopi au kuchukuwa makala yoyote usisahau kueleza kwamba umeyatowa kutoka www.uislamu.net ili kama kuna kosa usije ukalaumika wewe.


 

 

JIFUNZE KUSOMA

QURAAN KWA HUKUMU ZA TAJWEED

endelea kusoma

 

BILA SHAKA DINI YA HAKI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAMU        إن الدين عند الله الإسلام

MLANGO WA FATWA

Masuala yaliyojibiwa na Mufti Mkuu wa Oman. Sheikh Ahmed bin Hamed Al Khalili.

                                       Endelea...

 SHEIKH

SAID BIN MABROOK

AL-QANOOBI

                          Endelea         

Safari ya Sheikh Al Khalili

Zanzibar

 hapa

 

                        Endelea              

Mlango wa Dua

jifunze dua tofauti

                     

 

 

UKUMBI WA UISLAMU.NET

 

INGIA KATIKA UKUMBI

DUA

Dua ni muhimu katika maisha ya Muislamu, kwani ndio mawasiliano baina ya mja na Mola wake, na ndio sababu imfanyayo mja awe karibu na Mwenyezi Mungu, pale anaponyenyekea, huonesha udhaifu na haja kwa Mola Muumbaji. Tazama mwanadamu anapokuwa na shida na mwenzake yuko tayari kumuomba na kumtimizia atakalo.. Basi la busara zaidi ni kumuomba yule ambaye anamiliki kila kitu na mwenye uweza wa kila jambo.

 

Makala yaliyopita Soma makala yaliyopika

 

 

Kama utakuwa na ushauri wowote kuhusu kusaidia ukumbi huu tafadhali tuma email

katika anuani hii: uislamu@hotmail.com

 

 

      

  Copyright©www.uislamu.net.  2009  All rights reserved.